23 Bwana akamjibu Mose, "Je, mkono wa Bwana ni mfupi sana? Sasa utaona kama jambo nililolisema litatimizwa kwa ajili yako au la."
Publicidade
Hesabu 11:23
ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
23 Mwenyezi Mungu akamjibu Musa, "Je, mkono wa Mwenyezi Mungu ni mfupi sana? Sasa utaona kama jambo nililolisema litatimizwa kwa ajili yako au la."
- SRUV Swahili Revised Union Version
23 Isa 50:2;Eze 12:25;24:14BWANA akamwambia Musa, Je! Mkono wa BWANA umepungua urefu wake?11:23 Au ‘umekuwa mfupi kuliko ulivyokuwa’. Sasa utaona kama neno langu litatimizwa kwako, au la.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.