2 Waisraeli wote wakanungʼunika dhidi ya Mose na Aroni, nalo kusanyiko lote wakawaambia, "Laiti tungekuwa tumefia humo nchi ya Misri! Au humu kwenye hili jangwa! 4 Wakasemezana wao kwa wao, "Inatupasa kumchagua kiongozi na kurudi Misri."
Publicidade
Hesabu 14:2,4
ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
2 Waisraeli wote wakanung’unika dhidi ya Musa na Haruni, na kusanyiko lote wakawaambia, "Laiti tungekuwa tumefia humo nchi ya Misri! Au humu kwenye hili jangwa! 4 Wakasemezana wao kwa wao, "Inatupasa kumchagua kiongozi na kurudi Misri."
- SRUV Swahili Revised Union Version
2 Zab 106:25;Kum 28:68Kisha wana wa Israeli wote wakamnung’unikia Musa na Haruni; mkutano wote wakawaambia, Ingekuwa heri kama tungalikufa katika nchi ya Misri, au, ingekuwa heri kama tungalikufa katika jangwa hili. 4 Neh 9:17;Mdo 7:39;Ebr 11:15Wakaambiana, Na tumweke mtu mmoja awe kiongozi, tukarudi Misri.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.