22 Bwana anachukia sana midomo idanganyayo,
bali hufurahia watu ambao ni wa kweli.
22 Bwana anachukia sana midomo idanganyayo,
bali hufurahia watu ambao ni wa kweli.
22 Mwenyezi Mungu anachukia sana midomo idanganyayo,
bali hufurahia watu ambao ni wa kweli.
22 Ufu 22:15Midomo ya uongo ni chukizo kwa BWANA;
Bali watendao uaminifu ndio furaha yake.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.