6 Mfundishe mtoto njia impasayo kuiendea,
naye hataiacha hata akiwa mzee.
15 Upumbavu umefungwa ndani ya moyo wa mtoto,
bali fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali naye.

6 Mlee mtoto katika njia impasayo,
Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
15 Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto;
Lakini fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.