3 Kwa hekima nyumba hujengwa,
nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa
4 kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa
vitu vya thamani na vya kupendeza.
3 Kwa hekima nyumba hujengwa,
nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa
4 kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa
vitu vya thamani na vya kupendeza.
3 Kwa hekima nyumba hujengwa,
nayo kupitia ufahamu huimarishwa;
4 kwa maarifa vyumba vyake hujazwa
vitu vya thamani na vya kupendeza.
3 Nyumba hujengwa kwa hekima,
Na kwa ufahamu huthibitika,
4 Na kwa maarifa vyumba vyake hujazwa
Vitu vyote vya thamani na vya kupendeza.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.