12 kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao,
kama vile baba afanyavyo
kwa mwana apendezwaye naye.
12 kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao,
kama vile baba afanyavyo
kwa mwana apendezwaye naye.
12 kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale anaowapenda,
kama vile baba afanyavyo
kwa mwana apendezwaye naye.
12 Ufu 3:19;Kum 8:5Kwa kuwa BWANA ampendaye humrudi,
Kama vile baba mwanawe ampendezaye.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.