5 "Kila neno la Mungu ni kamilifu;
yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia.
6 Usiongeze kwenye maneno yake,
ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo.
5 "Kila neno la Mungu ni kamilifu;
yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia.
6 Usiongeze kwenye maneno yake,
ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo.