Pular para o conteúdo
Publicidade

Warumi 1:21,22

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

21 Kwa maana ingawa walimjua Mungu, hawakumtukuza yeye kama ndiye Mungu wala hawakumshukuru, bali fikira zao zimekuwa batili na mioyo yao ya ujinga ikatiwa giza. 22 Ingawa walijidai kuwa wenye hekima, wakawa wajinga

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    21 Kwa maana ingawa walimjua Mungu, hawakumtukuza yeye kama ndiye Mungu wala hawakumshukuru, bali fikira zao zimekuwa batili na mioyo yao ya ujinga ikatiwa giza. 22 Ingawa walijidai kuwa wenye hekima, wakawa wajinga,

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    21 Efe 4:17-18;Ufu 14:7kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza. 22 Yer 10:14;1 Kor 1:20Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.