17 Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo. 18 Lakini nauliza: Je, wao hawakusikia? Naam, wamesikia, kwa maana:
"Sauti yao imeenea duniani pote,
nayo maneno yao yameenea
hadi miisho ya ulimwengu."