19 Wapendwa, msilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa: "Ni juu yangu kulipiza kisasi, nitalipiza," asema Bwana.