Pular para o conteúdo
Publicidade

Warumi 14

10 Basi kwa nini wewe wamhukumu ndugu yako? Au kwa nini wewe unamdharau ndugu yako? Kwa kuwa sote tutasimama mbele ya kiti cha Mungu cha hukumu. 11 Kwa kuwa imeandikwa:

" Kama vile niishivyo,asema Bwana,

kila goti litapigwa mbele zangu,

na kila ulimi utakiri kwa Mungu.’ "

12 Hivyo basi kila mmoja wetu atatoa habari zake mwenyewe kwa Mungu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também