Pular para o conteúdo
Publicidade

Warumi 4:6,7

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

6 Daudi pia alisema vivyo hivyo aliponena juu ya baraka za mtu ambaye Mungu humhesabia haki pasipo matendo:

7 "Wamebarikiwa wale

ambao wamesamehewa makosa yao,

ambao dhambi zao zimefunikwa.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    6 Daudi pia alisema vivyo hivyo aliponena kuhusu baraka za mtu ambaye Mungu humhesabia haki pasipo matendo:

    7 "Wamebarikiwa wale

    ambao wamesamehewa makosa yao,

    ambao dhambi zao zimefunikwa.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    6 Zab 32:1,2Kama vile Daudi ainenavyo heri yake mtu yule ambaye Mungu amhesabia kuwa na haki pasipo matendo,

    7 Zab 32:1-2Heri waliosamehewa makosa yao,

    Na waliositiriwa dhambi zao.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.