Pular para o conteúdo
Publicidade

Warumi 8:15

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

15 Kwa maana hamkupokea roho ya utumwa iwaleteayo tena hofu, bali mlipokea roho ya kufanywa wana, ambaye kwa yeye twalia, "Abba,8:15 Abba ni neno la Kiaramu ambalo maana yake ni Baba; ni neno ambalo lingetumiwa na mtoto kwa yule ambaye amemzaa. yaani, Baba,"

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    15 Kwa maana hamkupokea roho ya utumwa iletayo hofu tena, bali mlipokea Roho wa kufanywa wana, ambaye kwa yeye twalia, "Abba8:15 Abba ni neno la Kiaramu ambalo maana yake ni Baba., Baba."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    15 Gal 4:5-7Kwa kuwa hamkupokea tena roho wa utumwa iletayo hofu; bali mlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia, Aba, yaani, Baba. Mk 14:36;Gal 4:5,6;2 Tim 1:7

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.