Pular para o conteúdo
Publicidade

Yakobo 2

10 Kwa maana mtu yeyote anayeishika sheria yote lakini akajikwaa katika kipengele kimoja tu, ana hatia ya kuivunja sheria yote. 11 Kwa sababu yeye aliyesema, "Usizini," alisema pia, "Usiue." Basi kama huzini lakini unaua, umekuwa mvunjaji wa sheria.

12 Hivyo semeni na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria ile iletayo uhuru.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também