11 Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea. 12 Bali wote waliompokea, yaani wale walioliamini jina lake, aliwapa uwezo wa kufanyika wana wa Mungu.
Publicidade
Yohana 1:11,12
ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
Em outras traduções
- SRUV Swahili Revised Union Version
11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. 12 Gal 3:26Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
11 Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea. 12 Bali wote waliompokea, aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.