Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 18:37,38

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

37 Pilato akamuuliza, "Kwa hiyo wewe ni mfalme?"

Isa akajibu, "Wewe wasema kwamba mimi ni mfalme. Kwa kusudi hili nilizaliwa, na kwa ajili ya hili nilikuja ulimwenguni: ili niishuhudie kweli. Mtu yeyote aliye wa kweli husikia sauti yangu."

38 Pilato akamuuliza Isa, "Kweli ni nini?" Baada ya kusema haya Pilato akaenda nje tena, akawaambia wale viongozi wa Wayahudi waliomshtaki Isa, "Sioni msingi wowote wa kumshtaki mtu huyu.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    37 1 Tim 6:13;Yn 8:47;10:27Basi Pilato akamwambia, Wewe u mfalme basi? Yesu akajibu, Wewe wasema, kwa kuwa mimi ni mfalme. Mimi nimezaliwa kwa ajili ya haya, na kwa ajili ya haya mimi nilikuja ulimwenguni, ili niishuhudie kweli. Kila aliye wa hiyo kweli hunisikia sauti yangu. 38 Pilato akamwambia, Kweli ni nini?

    Naye akiisha kusema neno hilo akawatokea Wayahudi tena, akawaambia, Mimi sioni hatia yoyote kwake.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    37 Pilato akamuuliza, "Kwa hiyo wewe ni mfalme?" Yesu akajibu, "Wewe wasema kwamba mimi ni mfalme. Kwa kusudi hili nilizaliwa, na kwa ajili ya hili nilikuja ulimwenguni, ili niishuhudie kweli. Mtu yeyote aliye wa kweli husikia sauti yangu."

    38 Pilato akamuuliza Yesu, "Kweli ni nini?" Baada ya kusema haya Pilato akaenda nje tena akawaambia wale viongozi wa Wayahudi waliomshtaki Yesu, "Sioni kosa lolote alilotenda mtu huyu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.