Pular para o conteúdo
Publicidade

Warumi 12:1,11

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

Maisha mapya katika Al-Masihi

1 Kwa hiyo, ndugu zangu, nawasihi kwa rehema zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu na inayompendeza Mungu, hii ndiyo ibada yenu yenye maana.

11 Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana Isa.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    1 Rum 6:11,13;1 Pet 2:5;Yn 4:24Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.

    11 Ufu 3:15;Mdo 18:25kwa bidii, bila kulegea; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana;

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    1 Kwa hiyo, ndugu zangu, nawasihi kwa rehema zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu na inayompendeza Mungu, hii ndiyo ibada yenu yenye maana.

    11 Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.