11 Kwa maana, ndugu zangu, nimearifiwa habari zenu na wale walio wa nyumbani mwa Kloe, ya kwamba uko ugomvi kwenu. 12 Mdo 18:24,27;1 Kor 3:4;Yn 1:42Basi, maana yangu ni hii, ya kwamba kila mtu wa kwenu kusema, Mimi ni wa Paulo, na, Mimi ni wa Apolo, na, Mimi ni wa Kefa, na, Mimi ni wa Kristo.
Publicidade
1 Wakorintho 1:11,12
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
11 Ndugu zangu, nimepata habari kutoka kwa baadhi ya watu wa nyumbani mwa Kloe kwamba kuna magomvi kati yenu. 12 Maana yangu ni kwamba: Mmoja wenu husema, "Mimi ni wa Paulo"; mwingine, "Mimi ni wa Apolo"; mwingine, "Mimi ni wa Kefa1:12 yaani Petro"; na mwingine, "Mimi ni wa Al-Masihi."
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
11 Ndugu zangu, nimepata habari kutoka kwa baadhi ya watu wa nyumbani mwa Kloe kwamba kuna magomvi katikati yenu. 12 Maana yangu ni kwamba: Mmoja wenu husema, "Mimi ni wa Paulo"; mwingine, "Mimi ni wa Apolo"; mwingine, "Mimi ni wa Kefa,"1:12 Yaani Petro. na mwingine, "Mimi ni wa Kristo."
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.