Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Wakorintho 11

11 Lakini, katika Bwana si mwanamke pasipo mwanamume, wala mwanamume pasipo mwanamke. 12 Maana kama mwanamke alitoka katika mwanamume, vile vile mwanamume naye huzaliwa na mwanamke; na vitu vyote asili yake hutoka kwa Mungu. Hukumuni ninyi wenyewe katika nafsi zenu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também