4 Rum 12:6-8;Efe 4:4Basi kuna karama tofauti; bali Roho ni yeye yule. 7 1 Kor 14:26Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana.
Mwili mmoja wenye viungo vingi
12 Rum 12:4-5;1 Kor 10:17Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo. 27 Rum 12:5;Efe 5:30Basi ninyi mmekuwa mwili wa Kristo, na kila mmoja wenu akiwa kiungo cha mwili huo.