Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Wakorintho 15

20 Kol 1:18;1 Kor 11:30Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala. 21 Mwa 3:17-19;Rum 5:12,18Maana kwa kuwa mauti ililetwa na mtu, kadhalika na kiyama ya wafu ililetwa na mtu. 22 Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa.

Veja também