14 Yn 8:47;14:17Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. 15 1 Yoh 2:20Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu. 16 Isa 40:13;Rum 11:34Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
Publicidade