Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Wakorintho 6:12,13

SRUV Swahili Revised Union Version

Mtukuze Mungu katika mwili na Roho

12 1 Kor 10:23Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu chochote. 13 1 The 4:3-5Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    12 "Vitu vyote ni halali kwangu": lakini si vitu vyote vyenye faida. "Vitu vyote ni halali kwangu": lakini sitatawaliwa na kitu chochote. 13 "Chakula ni cha tumbo, na tumbo ni la chakula": lakini Mungu ataviangamiza vyote viwili. Mwili sio kwa ajili ya zinaa, bali kwa ajili ya Bwana Isa, na Bwana Isa kwa ajili ya mwili.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    12 "Vitu vyote ni halali kwangu": lakini si vitu vyote vyenye faida. "Vitu vyote ni halali kwangu": lakini sitatawaliwa na kitu chochote. 13 "Chakula ni cha tumbo, na tumbo ni la chakula": lakini Mungu ataviangamiza vyote viwili. Mwili haukuumbwa kwa ajili ya zinaa bali kwa ajili ya Bwana na Bwana kwa ajili ya mwili.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.