19 1 Kor 3:16;2 Kor 6:16Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; 20 1 Pet 1:18,19;1 Kor 7:23;Flp 1:20maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
Publicidade