9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 10 wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Publicidade
Publicidade