Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Coríntios 7

Maagizo kuhusu ndoa

1 Basi kuhusu mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. 2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

Veja também