Pular para o conteúdo
Publicidade

1 João 2

15 Yak 4:4Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. 16 Mit 27:20;Yak 4:16;Tit 2:12Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia.

Veja também