Pular para o conteúdo
Publicidade

1 João 3

1 Yn 1:12,13;16:3;1 Yoh 5:20Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye. 2 1 Yoh 2:28;Rum 8:17;2 Kor 3:18;Flp 3:21;Kol 3:4;Kut 34:29Wapenzi, sasa tu wana wa Mungu, wala haijadhihirika bado tutakavyokuwa; lakini tunajua ya kuwa atakapodhihirishwa, tutafanana naye; kwa maana tutamwona kama alivyo.

Veja também