Pular para o conteúdo
Publicidade

1 João 3

15 Mt 5:21,22;Yn 8:44Kila amchukiaye ndugu yake ni mwuaji: nanyi mnajua ya kuwa kila mwuaji hana uzima wa milele ukaao ndani yake. 16 Yn 13:1;15:13;Gal 2:20Katika hili tumelifahamu pendo, kwa kuwa yeye aliutoa uhai wake kwa ajili yetu; imetupasa na sisi kuutoa uhai wetu kwa ajili ya hao ndugu.

Veja também