Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Yohana 3

2 1 Yoh 2:28;Rum 8:17;2 Kor 3:18;Flp 3:21;Kol 3:4;Kut 34:29Wapenzi, sasa tu wana wa Mungu, wala haijadhihirika bado tutakavyokuwa; lakini tunajua ya kuwa atakapodhihirishwa, tutafanana naye; kwa maana tutamwona kama alivyo. 3 Na kila mwenye matumaini haya katika yeye hujitakasa, kama yeye alivyo mtakatifu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também