Pular para o conteúdo
Publicidade

1 João 4

9 Yn 3:16Katika hili pendo la Mungu lilionekana kwetu, kwamba Mungu amemtuma Mwanawe pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kwa yeye. 10 1 Yoh 2:2Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu. 11 Mt 18:33Wapenzi ikiwa Mungu alitupenda sisi hivi, imetupasa na sisi kupendana.

Veja também