Pular para o conteúdo
Publicidade

1 João 5

18 1 Yoh 3:9;Yn 17:15Tunajua ya kuwa kila mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi; bali yeye aliyezaliwa na Mungu hujilinda, wala yule mwovu hamgusi. 19 Gal 1:4;Yn 8:47Tunajua ya kuwa sisi tu wa Mungu; na dunia yote pia hukaa katika yule mwovu.

Veja também