Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Pedro 1

22 1 Yoh 5:1Mkiisha kujitakasa roho zenu kwa kuitii kweli, hata kuufikia upendano wa ndugu usio na unafiki, basi jitahidini kupendana kwa moyo safi. 23 Dan 6:26;Yn 1:13;Yak 1:18Kwa kuwa mmezaliwa mara ya pili; si kwa mbegu iharibikayo, bali kwa ile isiyoharibika; kwa neno la Mungu lenye uzima, linalodumu hata milele. 24 Isa 40:6-8;Yak 1:10,11Maana,

Mwili wote ni kama majani,

Na fahari yake yote ni kama ua la majani.

Majani hukauka na ua lake huanguka;

25 Isa 40:8Bali Neno la Bwana hudumu hata milele.

Na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu.

Veja também