8 Yn 17:20;20:29;2 Kor 5:7;2 Tim 4:8Naye mwampenda, ijapokuwa hamkumwona; ambaye ijapokuwa hamumwoni sasa, mnamwamini; na kufurahi sana, kwa furaha isiyoneneka, yenye utukufu, 9 Rum 6:22katika kuupokea mwisho wa imani yenu, yaani, wokovu wa roho zenu.