Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Petro 2

21 Mt 16:24;Yn 13:15Kwa sababu ndio mlioitiwa; maana Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akawaachia kielelezo, mfuate nyayo zake. 22 Isa 53:9;Yn 8:46;2 Kor 5:21Yeye hakutenda dhambi, wala udanganyifu haukuwapo kinywani mwake. 23 Isa 53:7Yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutisha; bali alijikabidhi kwake yeye ahukumuye kwa haki.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também