Wake na waume
1 Efe 5:22;Kol 3:18;Tit 2:5Kadhalika ninyi wake, watiini waume zenu; kusudi, ikiwa wako wasioliamini Neno, wavutwe kwa mwenendo wa wake zao, pasipo lile Neno; 2 1 Pet 2:12wakiutazama mwenendo wenu safi, na wa hofu.