13 Naye ni nani atakayewadhuru, mkiwa wenye juhudi katika mema? 14 Mt 5:10;Isa 8:12-13;1 Pet 2:20Lakini hata mkiteswa kwa sababu ya kutenda haki, mna heri. Msiogope kutisha kwao, wala msifadhaike; bali mtakaseni Kristo Bwana mioyoni mwenu.
Publicidade