2 Yn 10:12;21:15-17;Flm 1:14;Tit 1:11;Mdo 20:28;1 Tim 3:2-7lichungeni kundi la Mungu lililo kwenu, na kulisimamia, si kwa kulazimishwa, bali kwa hiari kama Mungu atakavyo; si kwa kutaka fedha ya aibu, bali kwa moyo. 3 2 Kor 1:24;Tit 2:7;Flp 3:17;1 The 1:7Wala si kama wajifanyao mabwana wa wale walio chini ya utunzaji wao, bali iweni mifano kwa lile kundi.
Publicidade