5 Mit 3:34;Efe 5:21;Mt 23:12;Yn 13:4,14;Yak 4:6Vivyo hivyo ninyi vijana, watiini wazee. Naam, ninyi nyote jifungeni unyenyekevu, mpate kuhudumiana; kwa sababu Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.
6 Mt 23:12;Lk 14:11;18:14;Ayu 22:29;Yak 4:10Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake;