6 Mt 23:12;Lk 14:11;18:14;Ayu 22:29;Yak 4:10Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake; 7 Zab 55:22;Mt 6:25;Flp 4:6huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.