Eliya atabiri ukame
1 Lk 1:17;4:25;2 Fal 3:14;Kum 10:8;Yak 5:17Basi Eliya Mtishbi, wa wageni wa Gileadi, akamwambia Ahabu, Kama BWANA, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninasimama mbele zake, hakutakuwa na umande wala mvua miaka hii, ila kwa neno langu.