9 2 Nya 1:10;Zab 72:1;Mit 2:3;16:16;Yak 1:5;Ebr 5:14Kwa hiyo nipe mimi mtumwa wako moyo wa adili niwahukumu watu wako, na kupambanua mema na mabaya; maana ni nani awezaye kuwahukumu watu hawa wako walio wengi?