13 Zab 89:20;Hes 27:18;Amu 11:29;13:25;14:6Ndipo Samweli akaitwaa pembe yenye mafuta, akamtia mafuta kati ya ndugu zake; na Roho ya BWANA ikamjia Daudi kwa nguvu kuanzia siku ile. Basi Samweli akaondoka, akaenda zake Rama.
Daudi ampigia Sauli kinubi
14 1 Sam 18:12;Amu 16:20;Zab 51:11;Amu 9:23;1 Sam 19:9;Isa 19:14Basi, Roho ya BWANA ilikuwa imemwacha Sauli, na roho mbaya kutoka kwa BWANA ikamsumbua.