Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Samweli 17:4

SRUV Swahili Revised Union Version

4 2 Sam 21:19;1 Nya 20:5;Yos 11:22;2 Sam 21:22;1 Nya 8:13;18:1;20:8;2 Nya 26:6;Amo 6:2Ndipo akatoka shujaa katika kambi ya Wafilisti, aliyeitwa Goliathi, wa Gathi, ambaye urefu wake ulikuwa mikono sita na shibiri moja.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    4 Shujaa aliyeitwa Goliathi, aliyetoka Gathi, akajitokeza kutoka kambi ya Wafilisti. Alikuwa na urefu dhiraa sita na shibiri moja17:4 Dhiraa sita na shibiri moja ni sawa na mita 3..

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    4 Shujaa aliyeitwa Goliathi, aliyetoka Gathi, akajitokeza kutoka kambi ya Wafilisti. Alikuwa na urefu dhiraa sita na shibiri moja.17:4 Dhiraa sita na shibiri moja ni sawa na mita 3, au futi 9 na inchi 8.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.