16 1 Sam 25:22;31:2;2 Sam 4:7;21:8Basi Yonathani akafanya agano na jamaa yake Daudi, akisema, BWANA na awalipize kisasi adui zake Daudi. 17 1 Sam 18:1;19:2;2 Sam 1:26Naye Yonathani akamwapisha Daudi mara ya pili, kwa ajili ya upendo aliokuwa nao kwake; kwa maana alimpenda kama alivyoipenda roho yake mwenyewe.
Publicidade