6 Kut 17:4;Yn 8:59;Amu 18:25;2 Sam 17:8;Zab 31:24;33:18;39:7;Yer 17:7,17;Yoe 3:16;Rum 4:20Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana hao watu wote walisononeka, kila mtu kwa ajili ya wanawe na binti zake; lakini Daudi alijitia nguvu katika BWANA, Mungu wake.
Publicidade