9 1 Pet 3:3-5Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani; 10 1 Tim 5:10bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu.
Publicidade