Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Timóteo 3

2 Tit 1:6-9Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkarimu, ajuaye kufundisha; 3 asiwe mtu wa kulewa, asiye dhalimu; bali awe mpole; asiwe mbishi, wala asiwe mwenye kupenda fedha; 4 1 Sam 2:12mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu;

Veja também