11 Efe 4:28;2 The 3:8,12Tena mjitahidi kutulia, na kutenda shughuli zenu, na kufanya kazi kwa mikono yenu wenyewe, kama tulivyowaagiza; 12 Kol 4:5;1 Kor 5:12,13ili mwende kwa adabu mbele yao walio nje, wala msiwe na haja ya kitu chochote.
Publicidade