3 1 The 5:23;Ebr 10:10;1 Pet 1:16Maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kutakaswa kwenu, mwepukane na uasherati; 4 1 Kor 6:13,15kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima; 5 Yer 10:25;Zab 79:6si katika hali ya tamaa mbaya, kama Mataifa wasiomjua Mungu.
Publicidade